Marekani na Israeli Zipo Tayari kwa Uwezekano wa Mashambulizi Dhidi ya Iran.
Kulingana na duru za kijeshi kutoka nchini Israeli zilizokaririwa na shirika la habari la Kan News, majeshi ya Marekani na Israeli yamewekwa katika hali ya tahadhari ya juu, yakijiandaa kwa…