Je silaha za Marekani zilizokamtwa na jeshi la Iran zinafanywaje?
https://youtube.com/shorts/cQJW-kmracM?feature=share
https://youtube.com/shorts/cQJW-kmracM?feature=share
Kampuni ya Kijerumani yapata hasara ya dola milioni 60 kwa wiki kutokana na mgogoro wa Hormuz 🔹Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya usafirishaji ya Kijerumani, Hapag-Lloyd, amesema kuwa kuendelea kwa mgogoro…
Utawala wa Rais John Dramani Mahama ulikataa mpango ambapo uliihitaji kupata msaada wa kifedha kwa kuipa Amerika data yake muhimu ya kiafya.Suala hilo hilo lilizima mazungumzo kati ya Amerika na…
Putin amesema kuwa kuendelea kwa vita kati ya Marekani na Iran hakutanufaisha upande wowote. Amesema pia kuwa mgogoro huo ni mgumu sana na umeiweka Urusi katika hali ngumu, akieleza kwamba…
Mlango wa Bahari wa Hormuz, unaojulikana duniani kama njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta, una jukumu jingine nyeti ambalo mara chache huzungumziwa: kuwa sehemu ya moja ya njia kuu za…
Beijing — China imesema inaendelea kuwasiliana na pande zote husika, ikiwemo Iran, katika juhudi za kupunguza mvutano na kumaliza mapigano yanayoendelea katika eneo hilo.Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje…
Iran imevuruga mipango ya Rais wa Marekani, Donald Trump, si tu katika nyanja za uchumi, siasa na masuala ya kijeshi kufuatia mvutano kati ya pande hizo mbili, bali pia katika…
Katika nchi nyingi za Afrika, taarifa zinaonyesha kuwa raia wa kawaida wanashawishiwa na Urusi kwenda kupigana katika vita vya Ukraine. Hata hivyo, hali nchini Kameruni inaonekana kuwa ya kipekee kwa…
Hata hivyo, Mearsheimer alikiri kuwa hakuna hata lengo moja lililofikiwa. “Ukweli ni kwamba tulishindwa katika malengo yote manne, na kwa namna fulani tumeifanya hali kuwa mbaya zaidi,” alisema.
Kura ya maoni ya The Washington Post–ABC–Ipsos inaonyesha kuwa Wamarekani wengi wanaona vita vya Trump na Iran vibaya, huku 61% wakiita kuwa ni makosa na ni idadi ndogo tu wanaona…