Trump aendeleza Mashambulizi yake dhidi ya kiongozi wa Ujerumani
Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kumkosoa vikali Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, katika chapisho lake la Truth social akisema kwamba anapaswa kuelekeza juhudi zaidi katika jitihada za kukomesha vita…