Taiwan Yafanya Mazoezi Makubwa ya Kijeshi Kwa Kutumia Silaha za Kisasa.
Taiwan imeendesha mazoezi makubwa ya kijeshi ya kurusha silaha za moja kwa moja ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kuimarisha uwezo wa ulinzi na kuhamia kwenye matumizi ya mifumo…