Ukraine Yapata Ndege 36 za Gripen kutoka Sweden.
Ukraine imefikia makubaliano na Sweden ya kupata jumla ya ndege 36 za kivita aina ya JAS 39 Gripen, katika hatua inayotarajiwa kuimarisha uwezo wa Jeshi la Anga la Ukraine. Kwa…
Ukraine imefikia makubaliano na Sweden ya kupata jumla ya ndege 36 za kivita aina ya JAS 39 Gripen, katika hatua inayotarajiwa kuimarisha uwezo wa Jeshi la Anga la Ukraine. Kwa…
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, amesema mazungumzo kati ya Marekani na Iran yamepiga hatua kubwa, huku pande hizo mbili zikiendelea kujadiliana kuhusu baadhi ya vipengele vya lugha ya…
DHAKA, BANGLADESH— Serikali ya Bangladesh imeingilia kati na kumwokoa nyati mmoja maarufu aliyepewa jina la “Donald Trump” saa chache tu kabla ya kuchinjwa kama mnyama wa kafara katika sikukuu ya…
WASHINGTON — Uchambuzi mpya umeeleza kuwa Marekani huenda ikahitaji kati ya miaka mitatu hadi mitano kujenga upya akiba zake muhimu za makombora, baada ya kutumika kwa kiwango kikubwa katika vita…
(TEXAS, MAREKANI) – Katika pigo jingine kubwa kwa mrengo wa chama cha Republican, Ken Paxton, anayeungwa mkono kwa dhati na Rais Donald Trump, amemshinda Seneta wa muda mrefu wa Marekani,…
TEHRAN/YEREVAN — Katika hatua inayoashiria mabadiliko makubwa ya kiusalama, taifa la Armenia inaripotiwa kusaini mkataba wa siri wa ununuzi wa silaha wenye thamani ya dola za Marekani milioni 500 na…
Ripoti zinazokinzana zimeibuka kufuatia madai ya gazeti la Wall Street Journal (WSJ) kwamba Marekani imeanza tena operesheni ya kutoa msaada na ulinzi kwa meli zinazopita katika Ghuba ya Uajemi. Awali,…
LONDON – Shirika la utangazaji la BBC limeripoti kuwa Urusi imeingilia na kuvuruga mfumo wa mawasiliano wa GPS wa ndege iliyokuwa ikimsafirisha Waziri wa Ulinzi wa Uingereza. Kwa mujibu wa…
WASHINGTON – Jarida la Marekani la The New Yorker limeripoti kuwa makubaliano yoyote yatakayofikiwa na Donald Trump kwa ajili ya kumaliza mzozo na Iran yatakuwa ya fedheha kwake, kutokana na…
Makubaliano ya kusitisha mapigano yameripotiwa kukiukwa na Marekani kufuatia uthibitisho kutoka kwa vikosi vyake kuhusu kutekeleza mashambulizi katika maeneo ya kusini mwa Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la…