Urusi Yaanzisha Mashambulizi Mazito Ukraine, Yatoa Onyo Kali kwa Raia Kuondoka Kyiv.
KYIV, UKRAINE – Mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, upo katika hali ya taharuki kufuatia majeshi ya Urusi kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi ya kimkakati yanayolenga viwanda na asasi mbalimbali za…