Nyati ‘Donald Trump’ Apona Kisu cha Eid Dakika za Mwisho
DHAKA, BANGLADESH— Serikali ya Bangladesh imeingilia kati na kumwokoa nyati mmoja maarufu aliyepewa jina la “Donald Trump” saa chache tu kabla ya kuchinjwa kama mnyama wa kafara katika sikukuu ya…