Ufaransa imefungua rasmi uchunguzi kuhusu mauaji ya mwanahabari Jamal khashoggi
Ufaransa imeanzisha rasmi uchunguzi wa kisheria kuhusu mauaji ya mwaka 2018 ya mwanahabari Jamal Khashoggi, uchunguzi unaomlenga Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, jaji…