Droni ya Marekani “MQ-9 Reaper” yadunguliwa mkoani Marib, Yemen
Yemen wadai kuitungua droni ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper katika eneo la Safer, mkoani Marib.Mpaka sasa, hakuna tamko rasmi lililotolewa na msemaji wa jeshi la Yemen, Yahya Saree, kuhusu…