Trump: Si lazima kuchukua ‘vumbi la nyuklia’ la Iran
Trump asema kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si jambo la lazima 🔹Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si lazima. Kauli hiyo aliitoa…
Trump asema kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si jambo la lazima 🔹Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si lazima. Kauli hiyo aliitoa…
Rais wa Kenya, William Ruto, ametoa wito kwa Afrika kupewa uanachama wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, takwa ambalo limeungwa mkono na Katibu Mkuu wa Umoja…
https://youtube.com/shorts/cQJW-kmracM?feature=share
BEIJING: Katika kile kinachoonekana kama hatua kali za kiusalama, wajumbe wa Marekani wameripotiwa kutupa zawadi zote walizopewa na wenyeji wao nchini China kabla ya kupanda ndege ya Rais, Air Force…
Ushirikiano kati ya Iran na China umeendelea kuimarika huku mataifa hayo mawili yakikabili mazingira ya migogoro katika eneo na changamoto za kimataifa. Wachambuzi wanaueleza mwenendo huu kama chanya na unaotarajiwa…
Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani, Ryan Crocker, ameikosoa kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuhusu “Iran kujisalimisha,” akiiita kauli hiyo kuwa ya kuchekesha. Crocker, ambaye aliwahi kuwa balozi wa…
Cuba imekumbwa na mgogoro mkubwa wa umeme baada ya serikali kutangaza kuwa nchi imeishiwa kabisa na dizeli pamoja na mafuta mazito ya kuwasha. Hali hiyo imeelezwa kuwa miongoni mwa migogoro…
Israel inaamini kuwa Rais wa Marekani Donald Trump anaweza kufanya uamuzi kuhusu kurejesha operesheni za kijeshi dhidi ya Iran mara baada ya kumaliza ziara yake nchini China, kwa mujibu wa…
Poland siku ya Alhamisi imeandika historia kwa kusajili rasmi ndoa yake ya kwanza ya watu wa jinsia moja, kufuatia maamuzi ya mahakama za Poland na Umoja wa Ulaya yaliyoagiza kutambuliwa…
Wizara ya Sheria ya Marekani inaripotiwa kuandaa hatua ya kuondoa mashtaka ya udanganyifu dhidi ya bilionea wa India, Gautam Adani, hatua ambayo inaweza kuhitimisha rasmi kesi ya jinai iliyofunguliwa wakati…