Iran: Hakuna Mazungumzo Mapya na Marekani Hadi Fedha Zilizozuiwa Zirejeshwe
Shirika la Habari la Fars, likinukuu chanzo cha uhakika, limeripoti kuwa hakutakuwa na mazungumzo yoyote kati ya Iran na Marekani bila kufanyika kwa uhamishaji wa fedha za Iran zilizozuiwa. Kwa…