Rasimu ya Mkataba wa Amani Yafichuka: Iran Kunufaika na Mabilioni Huku Marekani Ikilegeza Kamba
Ripoti mpya kutoka shirika la habari la Al Jazeera zinaeleza kuwa rasimu ya makubaliano ya amani kuhusu Iran imependekeza hatua kadhaa nzito, ikiwemo kusitishwa kabisa kwa uhasama, hatua inayoihusisha pia…