Mkuu wa zamani wa usalama wa Netanyahu amekamatwa nchini Marekani kwa kujaribu kuwashawishi na kuwanyanyasa kingono watoto wadogo.
Afisa wa zamani wa usalama wa Netanyahu akamatwa kwa tuhuma za kumshawishi mtoto Mamlaka nchini Marekani zimemtangaza kukamatwa kwa Matthew Mahl, aliyewahi kuwa mkuu wa usalama wa Waziri Mkuu wa…