Qatar Yalaani Vikali Unyanyasaji wa Wanaharakati wa Flotilla kwa Mkono wa Israel.
Serikali ya Qatar imetoa tamko kali la kulaani kitendo cha Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel cha kuwatesa na kuwanyanyasa wanaharakati wa kundi la Global Sumud Flotilla waliotiwa mbaroni…