Netanyahu akemewa mtandaoni baada ya kulaani jaribio la mauaji ya Trump
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amejikuta katika wimbi zito la ukosoaji kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kauli yake ya kulaani matumizi ya nguvu, muda mfupi baada ya jaribio la…