Iran Yasisitiza Kuendeleza Diplomasia Licha ya Kutoiamini Marekani
Katika juhudi za kutafuta suluhu ya kidiplomasia, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amefanya mazungumzo ya simu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, yakilenga…