Seneti ya Marekani Yapitisha Azimio la Kupunguza Mamlaka ya Vita Dhidi ya Iran.
WASHINGTON — Seneti ya Marekani imepitisha azimio linalojulikana kama “War Powers Resolution” linalolenga kupunguza mamlaka ya serikali kufanya hatua za kijeshi dhidi ya Iran. Hatua hiyo imefikiwa baada ya majaribio…