Wakulima walalama kufilisika Marekani – Walaumu Trump na sera zake
WASHINGTON — Sekta ya kilimo nchini Marekani inakabiliwa na mtikisiko mkubwa kufuatia wimbi jipya la kufilisika kwa mashamba, hali ambayo inatishia uwepo wa mashamba mengi ya kifamilia. Wakulima wengi wananyooshea…