Wademokrasia wa Marekani waikosoa kauli ya Trump kuhusu kumalizika kwa vita dhidi ya Iran
Seneta mwandamizi wa chama cha Democratic kutoka Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani amepinga madai ya Rais Donald Trump kwamba vita dhidi ya Iran imekamilika.