Mwanaharakati Fransis Awino amefungua kesi ili kupinga ongezeko la bei ya mafuta
Mwanaharakati Francis Awino amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Nairobi kupinga ongezeko la hivi karibuni la bei ya mafuta lililotangazwa na Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) tarehe 14…