Mojtaba Khamenei: Iran itaweka ‘kanuni mpya’ katika mlango wa bahari wa Hormuz
Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ametangaza mwanzo wa “sura mpya” kwa Mlango Bahari wa Hormuz, njia ya kimkakati ya baharini. Aidha amesisitiza kuwa Iran itaweka kanuni…