China yalaani vikali uvamizi wa Iran yasema ipo thabiti pamoja nayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ametangaza kuwa operesheni ya kijeshi inayoendelea dhidi ya Iran ni kinyume cha sheria, huku akisisitiza kuwa Beijing inaendelea kuiunga mkono Tehran…