Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Fedha
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewafukuza kazi Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Fedha. Waziri wa Fedha alikuwa amehudumu katika wadhifa huo chini ya wiki mbili. Hatua hiyo ni…
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewafukuza kazi Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Fedha. Waziri wa Fedha alikuwa amehudumu katika wadhifa huo chini ya wiki mbili. Hatua hiyo ni…
Iran imedai kuwa majeshi ya Marekani yamekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano baada ya kushambulia tanker ya mafuta ya Iran iliyokuwa ikielekea Mlango wa Hormuz kutoka maji ya pwani karibu na…
Vyanzo vyenye taarifa katika eneo la Ghuba ya Uajemi vimeripoti kuwa Saudi Arabia imefunga anga yake pamoja na baadhi ya kambi zake za kijeshi kwa matumizi ya Marekani. Hatua hiyo…
Msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al‑Anbiya ametangaza kuwa jeshi la Marekani limetekeleza mashambulizi dhidi ya meli za Iran na maeneo ya pwani, kitendo ambacho kimetajwa kuwa uvunjaji wa makubaliano…
Klabu ya Real Madrid imekumbwa na taarifa za sintofahamu baada ya ripoti kutoka vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kudai kuwa viungo wa timu hiyo, Federico Valverde na Aurélien Tchouaméni,…
Beijing — Katika hatua ya kushangaza huku kukiendelea msako ndani ya jeshi lake, China siku ya Alhamisi iliwapa mawaziri wake wawili wa zamani wa ulinzi adhabu ya kifo iliyoahirishwa kwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameonya kuwa uwezekano wa kuondoa vikwazo dhidi ya Iran haupo kabisa hadi pale Mlango wa Hormuz utakapofunguliwa, akibainisha msimamo mkali wa Paris kuhusu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Timu ya Chelsea ya Uingereza…
Uchambuzi wa picha za satelaiti uliofanywa na gazeti la Washington Post unaonyesha kuwa tangu kuanza kwa vita, mashambulizi ya Iran yameharibu au kuathiri angalau miundombinu na vifaa 228 katika vituo…
Kituo cha Al-Arabiya kikinukuu chanzo cha serikali ya Pakistan kimeripoti kuwa Rais wa Marekani ameiomba Iran kutoa jibu la haraka kwa pendekezo la amani lililotumwa na Washington. Kwa mujibu wa…