Mwakilishi wa Bunge la Marekani asema Trump ni tishio kwa usalama wa nchi
Mwakilishi wa Chama cha Democratic katika Bunge la Marekani, Seth Moulton, amesema kuwa rais wa Marekani Donald Trump ni tishio kwa usalama na uthabiti wa Marekani. Akizungumza kuhusu wasiwasi unaoibuka…