Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ajadili na JD Vance kupunguza mvutano Mashariki ya Kati
Washington — Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amekutana na Makamu wa Rais wa Marekani, J.D. Vance, mjini Washington kujadili juhudi za kupunguza mvutano katika eneo.…