Trump: mashambulizi dhidi ya iran ni love tap “mguso mdogo tu”, usitishaji vita bado unaendelea
Rais Donald Trump amesema katika mahojiano na ABC News kwamba mashambulizi dhidi ya Iran yalikuwa “mguso mdogo tu,” akisisitiza kuwa makubaliano ya usitishaji vita bado yanaendelea kutekelezwa. Akizungumza na kituo…