Drake Aonekana Kumkosoa DJ Khaled kwa Kukaa Kimya Kuhusu Palestina.
Rapa maarufu wa Kanada, Drake, anaonekana kumkosoa rapa na mtayarishaji mwenye asili ya Kipalestina, DJ Khaled, kwa kukosa kuonyesha wazi uungwaji mkono wake kwa Palestina. Ukosoaji huo unaonekana katika wimbo…