Mgogoro Mkubwa wa Umeme Cuba Baada ya Nchi Kuishiwa Dizeli na Mafuta Mazito ya Kuwasha (Oil).
Cuba imekumbwa na mgogoro mkubwa wa umeme baada ya serikali kutangaza kuwa nchi imeishiwa kabisa na dizeli pamoja na mafuta mazito ya kuwasha. Hali hiyo imeelezwa kuwa miongoni mwa migogoro…