Afisa wa Zamani wa Marekani Adai Israel Inaweza Kutekeleza Shambulio la Kigaidi Ndani ya Marekani
WASHINGTON – Aliyekuwa mkuu wa Kituo cha Kitaifa cha Kukabiliana na Ugaidi nchini Marekani aliyejiuzulu, Joe Kent, ametoa madai mazito akionya kuwa kuna uwezekano wa Israel kutekeleza operesheni za kigaidi…