Skip to content
  • Jtn. Septemba 16th, 2026

Utaridi CI Media

Habari Ndani ya Sayari.

  • KIMATAIFA
  • MASHARIKI YA KATI
  • AFRIKA
  • UCHAMBUZI
  • MAONI
  • MICHEZO
  • KUTUHUSU
Top Tags
  • utaridi
  • habari
  • Marekani
  • Masharikiyakati
  • Iran
  • Israel
  • Trump

Hivi Punde

Yemen Yakanusha Madai ya Mpango wa Kushambulia Makkah Ujerumani Yaitaka Iran Kufungua Hormuz, Yaonya Kuhusu Ansarullah Hegseth Awafuta au Kuzuia Kupandishwa Vyeo Maafisa 80 wa Juu Iran: Hakuna Mazungumzo na Marekani Hadi Masharti Yetu Yatimizwe Saudi Yashutumiwa Kuficha Nafasi ya Marekani Katika Kuahirisha Mkutano
MASHARIKI YA KATI

Yemen Yakanusha Madai ya Mpango wa Kushambulia Makkah

15/09/2026
KIMATAIFA

Ujerumani Yaitaka Iran Kufungua Hormuz, Yaonya Kuhusu Ansarullah

15/09/2026
KIMATAIFA

Hegseth Awafuta au Kuzuia Kupandishwa Vyeo Maafisa 80 wa Juu

15/09/2026
MASHARIKI YA KATI

Iran: Hakuna Mazungumzo na Marekani Hadi Masharti Yetu Yatimizwe

15/09/2026
MASHARIKI YA KATI

Saudi Yashutumiwa Kuficha Nafasi ya Marekani Katika Kuahirisha Mkutano

14/09/2026
  • Hivi punde
  • Maarufu
  • Afrika
Yemen Yakanusha Madai ya Mpango wa Kushambulia Makkah
MASHARIKI YA KATI
Yemen Yakanusha Madai ya Mpango wa Kushambulia Makkah
Ujerumani Yaitaka Iran Kufungua Hormuz, Yaonya Kuhusu Ansarullah
KIMATAIFA
Ujerumani Yaitaka Iran Kufungua Hormuz, Yaonya Kuhusu Ansarullah
KIMATAIFA
Hegseth Awafuta au Kuzuia Kupandishwa Vyeo Maafisa 80 wa Juu
Iran: Hakuna Mazungumzo na Marekani Hadi Masharti Yetu Yatimizwe
MASHARIKI YA KATI
Iran: Hakuna Mazungumzo na Marekani Hadi Masharti Yetu Yatimizwe
Ni nani Deogratius John Ndejembi aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya makamu wa rais wa Tanzania?
AFRIKA
Ni nani Deogratius John Ndejembi aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya makamu wa rais wa Tanzania?
Hillary Clinton: Serikali ya Netanyahu Ilishindwa Kuwalinda Waisraeli
KIMATAIFA
Hillary Clinton: Serikali ya Netanyahu Ilishindwa Kuwalinda Waisraeli
Hormuz: Marekani Yaratibu Hatua za Pamoja Kukabiliana na Iran
MASHARIKI YA KATI
Hormuz: Marekani Yaratibu Hatua za Pamoja Kukabiliana na Iran
Sheikh Naim: Iran, Mhusika Muhimu Katika Kusitishwa kwa Mapigano Lebanon
MASHARIKI YA KATI
Sheikh Naim: Iran, Mhusika Muhimu Katika Kusitishwa kwa Mapigano Lebanon
Mudavadi: Wafanyabiashara Wageni Wenye Vibali Watalindwa Kenya
AFRIKA
Mudavadi: Wafanyabiashara Wageni Wenye Vibali Watalindwa Kenya
Mufti Zubeir: Eda ya Rais Samia Haizuii Majukumu ya Lazima
AFRIKA
Mufti Zubeir: Eda ya Rais Samia Haizuii Majukumu ya Lazima
Licha ya Pingamizi la Marekani Ramani Inayoakisi Ukubwa Halisi wa Afrika yapitishwa UN
AFRIKA
Licha ya Pingamizi la Marekani Ramani Inayoakisi Ukubwa Halisi wa Afrika yapitishwa UN
UN kupigia kura ramani mpya inayoonyesha ukubwa halisi wa Afrika
AFRIKA
UN kupigia kura ramani mpya inayoonyesha ukubwa halisi wa Afrika
Uncategorized

Balozi wa Marekani Uturuki: hakuna vita kati ya Uturuki na Israel, ni ‘mikwala ya uchaguzi’

22/08/2026

"Kile mnachokisikia kwenye kauli kali za viongozi wakuu wa nchi hizi ni kile wanacholazimika kusema wakati wa kampeni za kisiasa — ambazo kila mtu yuko ndani yake, sivyo?" Balozi Tom…

KIMATAIFA

Urusi Yaitishia Uingereza Kuhusu Mashambulizi ya Ukraine kwa Kutumia Droni za Uingereza

18/08/2026

Urusi imetoa onyo la moja kwa moja kwa Uingereza, ikisema London inaweza kukabiliwa na madhara makubwa baada ya ripoti kueleza kuwa Ukraine imetumia droni zilizotengenezwa Uingereza kushambulia viwanda vya kusafisha…

KIMATAIFA

Ordoga alalama nchi yake kufungiwa mlango wa kujiunga na Umoja wa nchi za Ulaya

16/08/2026

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametangaza wazi kuwa azma ya nchi yake kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU) si kipaumbele kikuu cha sera za kigeni za Ankara kwa sasa,…

KIMATAIFA

Netanyahu aishambulia Uingereza, aiita “Jamhuri ya Kiislamu ya Uingereza”

15/08/2026

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameishambulia serikali ya Uingereza inayoongozwa na Chama cha Labour, akiita nchi hiyo kwa jina la kejeli “Jamhuri ya Kiislamu ya Uingereza”, huku mvutano kati…

MASHARIKI YA KATI

Iran: Golan ni ya Syria, Netanyahu Hana Mamlaka Juu ya Kuundwa kwa Taifa Huru la Palestina

13/08/2026

Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: 🔹 Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kauli za Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin…

KIMATAIFA

Putin aonya nchi za magharibi “meli zetu sio shamba la bibi, mkizikamata na sisi tutakamata za kwenu”

13/08/2026

Rais Vladimir Putin ameonya kuwa Russia itajibu kwa hatua sawia iwapo nchi za Ulaya zitaanza kukamata meli za kibiashara za Russia, akisema Moscow inaweza kuchukua hatua hiyo hata katika maeneo…

MASHARIKI YA KATI

Washington Post: Mashambulizi ya Iran Jordan yaonyesha uwezo wake wa kijeshi umeimarika kwa kasi

13/08/2026

Mashambulizi ya Iran dhidi ya kituo cha kijeshi cha Marekani nchini Jordan, yaliyosababisha vifo vya wanajeshi watatu wa Marekani Julai 17, yanaonyesha jinsi uwezo wa Tehran katika matumizi ya makombora…

MASHARIKI YA KATI

Hamas yaunga mkono wazo la kuijumuisha Gaza katika makubaliano mapana ya kusitisha vita kikanda

13/08/2026

Hamas imesema inaunga mkono kwa nguvu kauli za Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Mohsen Rezaei, kuhusu umuhimu wa kumaliza vita katika eneo lote la Mashariki…

AFRIKA

Mfahamu mwanasiasa wa Uganda anayegombea nafasi ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa

12/08/2026

Uganda imemuidhinisha mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe Olara Otunnu kuwa mgombea wake katika kinyang’anyiro cha nafasi ya Katibu Mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa (UN). Otunnu, ambaye anaungwa mkono na serikali…

MASHARIKI YA KATI

CNN: Mkuu wa Majeshi ya Marekani ashauri Washington kutafuta njia ya kujiondoa katika vita na Iran

08/08/2026

Kwa mujibu wa CNN, Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi ya Marekani, Jenerali Dan Caine, amewaeleza kwa faragha baadhi ya washauri wakuu wa Rais Donald Trump kwamba Washington inahitaji kutafuta “njia…

Machapisho utaftaji

1 … 7 8 9 … 65

Utaridi CI Media

Habari Ndani ya Sayari.

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • SERA YA UHARIRI
  • SERA YA MAREKEBISHO
  • FARAGHA
  • WASILIANA NASI
  • MATANGAZO NA USHIRIKIANO