New York Times: Afisa wa Trump aishutumu Israel kwa ukiukwaji wa usitishaji vita Gaza
WASHINGTON/GAZA — Afisa mwandamizi katika Board of Peace ya Rais Donald Trump ameishutumu serikali ya Israel kwa kuchukua hatua zinazohatarisha makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza pamoja na mpango unaoungwa mkono…