Pigo kwa UDA: DCP Yashinda Uchaguzi Mdogo wa Ol Kalou
OL KALOU, KENYA – Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imemtangaza mgombea wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Samuel Kamau Waweru, kuwa mshindi wa…
OL KALOU, KENYA – Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imemtangaza mgombea wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Samuel Kamau Waweru, kuwa mshindi wa…
PRETORIA, Afrika Kusini – Ofisi ya Rais wa Afrika Kusini imekanusha madai kwamba nchi hiyo inaanza kutengwa na mataifa mengine ya Afrika kufuatia maandamano ya hivi karibuni dhidi ya wahamiaji,…
DAR ES SALAAM, Julai 16 – Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali inaendelea na uchunguzi kuhusu kutoweka kwa mwanasiasa Humphrey Polepole, huku akisisitiza kuwa uchunguzi…
PORT SUDAN, Julai 13 – Mahakama ya Kupambana na Ugaidi na Makosa Dhidi ya Taifa nchini Sudan imemhukumu kiongozi wa kikosi cha Rapid Support Forces (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo maarufu…
Serikali ya Burkina Faso imetangaza rasmi kukata uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa, hatua inayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa mahusiano ya kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Katika taarifa iliyotolewa na mamlaka…
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ametoa onyo kali na la mwisho kwa kikundi au mtu yeyote anayepanga kutumia maandamano ya kupinga wahamiaji kama kigezo cha kuvuruga…
KIGALI/WASHINGTON – Serikali ya Marekani imetangaza hatua kali za kiuchumi dhidi ya watu wawili na makampuni manne ya madini nchini Rwanda, ikituhumiwa kuhusika katika mnyororo wa biashara haramu ya madini…
NAIROBI, KENYA Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, amezua mjadala mzito nchini humo baada ya kutoa tamko kali la hadharani dhidi ya kampuni ya habari ya Standard Group, akishutumu…
Mfanyabiashara wa Tanzania, Edhah Abdallah, ameanza kupata faida kubwa kutokana na uwekezaji wake katika sekta ya saruji nchini Kenya kupitia Bamburi Cement na East African Portland Cement Company (EAPC). EAPC…
Ugonjwa wa sasa wa Ebola, ambao ulizuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda mwezi uliopita, ni matokeo ya kuenea kwa wanyamapori. Haya yameelezwa na wanasayansi kutoka nchi hizo…