Utafiti waonyesha asilimia 47 ya Wanademokrasia wanaamini jaribio la kumuua Trump lilipangwa
Gazeti moja nchini Marekani limeripoti kuwa utafiti mpya wa Taasisi ya Manhattan umeonesha matokeo ya kushangaza kuhusu mtazamo wa wanachama wa chama cha Democratic kufuatia jaribio la kumuua rais, Donald…