Waziri wa Ulinzi wa Israel akiwa Syria asema Israel haitaruhusu Uturuki kuimarisha ushawishi humo
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz amesema Israel itaendelea kuchukua hatua za kijeshi kulinda maeneo yake na kuzuia nchi nyingine, ikiwemo Uturuki, kuanzisha uwepo wa kijeshi ndani ya Syria.…
NBC: Mashambulizi ya Iran yasababisha uharibifu mkubwa kwa vituo vya kijasusi vya Marekani Mashariki ya Kati
Mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran yamesababisha uharibifu mkubwa usio wa kawaida kwa vituo vya kijasusi vya Marekani na vifaa vya ufuatiliaji katika maeneo mbalimbali…
Huu ndio utaratibu uliowekwa na Katiba ya Tanzania kujaza nafasi ya Makamu wa Rais ikiachwa wazi
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka utaratibu maalum wa kisheria kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa endapo nafasi ya Makamu wa Rais itakuwa wazi kutokana na sababu kama kifo au…
Bessent: Trump anawasiliana na viongozi wa dunia kuwataka wakate uhusiano na Iran
Waziri wa Hazina wa Marekani Scott Bessent amesema Rais Donald Trump amekuwa akipiga simu kwa viongozi wa nchi mbalimbali duniani akiwa na maombi maalum kuhusu kusitishwa kwa uhusiano wao na…
Trump aishambulia Canada: ‘’msiporekebika mtakiona cha mtema kuni”
Rais Donald Trump amemshambulia Waziri Mkuu wa Ontario, Doug Ford, na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney, akidai kuwa Canada imekuwa ikinufaika na Marekani kwa miongo kadhaa na sasa haitaruhusiwa…
Akiba za mafuta ghafi Marekani zakadiriwa kufikia siku 41 pekee, kiwango cha chini zaidi kwa miongo kadhaa
Taarifa zinazozunguka kwenye masoko ya nishati zinaonyesha kuwa akiba ya mafuta ghafi ya Marekani imefikia kiwango cha chini kinachoweza kuhudumia mahitaji ya nchi hiyo kwa takriban siku 41 pekee, kiwango…
Syria na Israel zafanya mazungumzo Jordan kupunguza mvutano baada ya mashambulizi ya Israel
Syria na Israel zimefanya mazungumzo nchini Jordan kwa lengo la kupunguza mvutano kati ya nchi hizo mbili, siku chache baada ya Israel kufanya mashambulizi ya anga dhidi ya kituo cha…
Kauli ya Trump Kuhusu Uagizaji wa Nyama ya Argentina Yaibua Hasira Miongoni mwa Wafugaji wa Marekani
Hivyo basi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vinavyoegemea Chama cha Democratic, bidhaa ambayo China imekataa kuipokea ndiyo sasa inapelekwa kwenye meza za chakula za Wamarekani, wakati wakulima wa Marekani…
Karoline Leavitt, msemaji au pambo la sera kali za Trump ?
Je, Karoline Leavitt amekuwa msemaji hasa wa White House, au "sura ya kike" tu iliyokusudiwa kupamba na kufanya sera kali za Trump zionekane kuwa zenye mvuto na kukubalika? Karoline Leavitt,…
Trump ataja Bahari ya Hormuz kuwa eneo la Marekani
Trump atoa onyo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, ataja Bahari ya Hormuz kuwa eneo la Marekani Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo kali kuhusu suala la nyuklia la…