Marekani-Israel Zilitaka Kuidhoofisha Iran; Telegraph Yadai Matokeo Yamekuwa Tofauti
Kwa mujibu wa uchambuzi wa The Telegraph ulioandikwa na Roland Oliphant, Iran imeibuka ikiwa na nafasi yenye nguvu zaidi kimkakati baada ya vita, licha ya hasara kubwa za kibinadamu na…
Usafiri wa Meli Hormuz Waendelea Kupitia Njia ya Iran
Takwimu mpya za ufuatiliaji wa meli zinaonyesha kuwa usafiri katika Mlango-Bahari wa Hormuz bado kwa kiasi kikubwa unaendelea kupitia njia inayodhibitiwa na Iran, huku idadi ya safari zilizothibitishwa ikipungua. Kwa…
Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan kuunda mkataba wa ulinzi wa pande tatu uitwao “Makubaliano ya Makka”
Jeddah, Saudi Arabia — Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan zinatarajiwa kusaini mkataba wa ulinzi wa pande tatu ambao umepewa jina rasmi la “Makubaliano ya Makka” (Mecca Agreement), kwa mujibu wa…
Iran: Uingiliaji wa Marekani Wachelewesha Makubaliano ya Hormuz
Afisa mmoja mwenye taarifa amesema uingiliaji wa Marekani pamoja na vitisho vya Rais Donald Trump ndio sababu kuu ya kuchelewa kufikiwa kwa makubaliano kati ya Iran na Oman kuhusu Mlango-Bahari…
Balozi wa Ukraine nchini Uingereza: Ukraine haitawahi kujiunga na NATO
LONDON, Uingereza — Balozi wa Ukraine nchini Uingereza na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Ukraine, Valerii Zaluzhnyi, amesema kuwa nchi hiyo haina uwezekano wa kujiunga na Muungano wa Kijeshi wa…
Utafiti wa Reuters: Vita na Iran vyaathiri mwelekeo wa uchaguzi wa Marekani
Kupungua kwa umaarufu wa Trump kutokana na vita na Iran. 🔹 Utafiti mpya uliofanywa na Reuters/Ipsos unaonyesha kuwa wakati bei za mafuta zikiongezeka baada ya vita na Iran, umaarufu wa…
Malaysia yasimama imara dhidi ya tisho la Marekani kuhusu msimamo wake kwa Israel
WASHINGTON, MAREKANI — Balozi wa Malaysia nchini Marekani ameitwa kwa dharura katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (State Department) jijini Washington, kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa wabunge wa…
Marekani ashindwa, aungana na Uingereza kusaka muungano wa kimataifa kufungua Hormuz
Serikali ya Marekani, ikishirikiana na Uingereza, inapanga kuandaa mkutano wa ngazi ya juu wiki ijayo mjini London lengo likiwa ni kuunda muungano wa kimataifa wa kijeshi ili kulinda na kufungua…
Iran yatangaza kisasi cha “mwanajeshi mmoja wa Marekani kwa kila raia wake atakayeuawa”
Kamanda wa Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya, Meja Jenerali Ali Abdollahi, amesema Iran imeweka kanuni mpya ya kulipiza kisasi, akionya kuwa kifo cha kila raia wa Iran katika mashambulizi ya…
Netanyahu na Katz waamuru operesheni kubwa dhidi ya vijiji vya Palestina Ukingo wa Magharibi
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa Ulinzi Israel Katz wameagiza operesheni kubwa ya kijeshi katika vijiji vya Palestina kwenye Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, baada ya…