Trump asema Marekani inachunguza uwezekano wa kupunguza wanajeshi nchini Ujerumani
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kupitia mtandao wake wa Truth Social kwamba Marekani kwa sasa inachunguza na kutathmini uwezekano wa kupunguza idadi ya wanajeshi wake walioko nchini Ujerumani. Ameongeza…