Ufaransa Yampiga Marufuku Waziri wa Usalama wa Israel Kuingia Nchini Humo
PARIS – Serikali ya Ufaransa imempiga marufuku Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir, kuingia katika ardhi ya taifa hilo, kufuatia kile kilichotajwa kuwa ni mienendo isiyokubalika dhidi…