Mradi wa ndege za kivita waangukia pua: Ufaransa na Ujerumani zashindwana ubabe
PARIS, UFARANSA Ufaransa na Ujerumani zimeshindwa kuvunja ukuta wa kutoelewana uliodumu kwa miezi kadhaa kuhusu mradi wao wa pamoja wa kutengeneza ndege za kivita za kisasa (Next-Generation Fighter Jet), hatua…