Blinken: Chaguo la kijeshi dhidi ya Iran halikuwa suluhisho boraw
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, amesema kuwa kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Iran ni chagua la makosa, licha ya mjadala uliokuwepo kuhusu hatua…
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, amesema kuwa kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Iran ni chagua la makosa, licha ya mjadala uliokuwepo kuhusu hatua…
Rais wa Marekani, Donald Trump, amerejea kutoka ziara yake nchini China huku akikabiliwa na maamuzi muhimu kuhusu hali ya mvutano na Iran. Kwa mujibu wa gazeti la The New York…
https://youtube.com/shorts/cQJW-kmracM?feature=share
Ushirikiano kati ya Iran na China umeendelea kuimarika huku mataifa hayo mawili yakikabili mazingira ya migogoro katika eneo na changamoto za kimataifa. Wachambuzi wanaueleza mwenendo huu kama chanya na unaotarajiwa…
Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani, Ryan Crocker, ameikosoa kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuhusu “Iran kujisalimisha,” akiiita kauli hiyo kuwa ya kuchekesha. Crocker, ambaye aliwahi kuwa balozi wa…
Israel inaamini kuwa Rais wa Marekani Donald Trump anaweza kufanya uamuzi kuhusu kurejesha operesheni za kijeshi dhidi ya Iran mara baada ya kumaliza ziara yake nchini China, kwa mujibu wa…
WASHINGTON — Mbunge wa Marekani kutoka Chama cha Democratic, Ed Case, amesema kuwa jeshi la Marekani lilipoteza angalau ndege 39 wakati wa vita vya siku 40 vilivyohusisha Marekani na Israel…
Mkuu wa tawi la Microsoft nchini Israel, Alon Haimovich, ameondoka rasmi kwenye wadhifa wake baada ya kuibuka kwa uchunguzi kuhusu matumizi ya teknolojia ya kampuni hiyo na vyombo vya ulinzi…
🔹 Kituo cha 12 cha Israel, kikinukuu ofisi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, kilithibitisha kuwa Benjamin Netanyahu alifanya ziara ya siri nchini Umoja wa Falme za Kiarabu katika…
Ripoti mpya za kijasusi za siri za Marekani zinaonyesha kuwa Iran bado imehifadhi sehemu kubwa ya uwezo wake wa kijeshi wa makombora, licha ya matamshi ya awali ya Rais Donald…