Universal Pictures na Michael Bay Kuandaa Kilamu ya Uokoaji wa Marubani wa Marekani Nchini Iran.
Kampuni ya utayarishaji wa filamu ya Universal Pictures, kwa kushirikiana na mwongozaji mahiri Michael Bay, imetangaza mipango ya kuandaa filamu mpya itakayoelezea kisa cha kusisimua cha uokoaji wa marubani wawili…