Iran Yasisitiza Kuiunga Mkono Hezbollah, Yadai Usitishaji Vita Lebanon Katika Makubaliano Yoyote ya Amani.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Seyed Abbas Araghchi, amewasilisha ujumbe maalum kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah, Sheikh Naim Qassem, akisisitiza msimamo thabiti wa Tehran…