Murkomen atangaza Jumatano sikukuu ya Idd-ul-Adha
WAZIRI wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ametangaza Jumatano kama sikukuu ya kitaifa.Kupitia notisi ya gazeti iliyochapishwa Jumatatu Mei 25, waziri huyo alitangaza kuwa siku hiyo ni ya Idd-ul-Adha ama…