“Kwa Nini Mataifa ya Nje Yaingilie Mlango wa Hormuz?” – Mélenchon Aibua Mjadala Kuhusu Haki ya Iran Kujilinda
Mgombea wa urais wa Ufaransa Jean‑Luc Mélenchon ametoa maoni yake kuhusu Iran na Mlango wa Hormuz. Mélenchon alisema kuwa nchi inapojilinda ina haki ya kutumia mbinu mbalimbali za ulinzi. Alisema…