Kamanda wa Jeshi la Ardhi la IRGC akagua vikosi vya operesheni katika visiwa vya kimkakati vya Ghuba ya Uajemi
Jenerali Mohammad Karami ametembelea vitengo vya kijeshi vinavyosimamiwa na Kamandi ya Mbele ya Madina Munawara, akitathmini utayari wa kivita na hali ya operesheni za vikosi hivyo katika maeneo ya pwani…