habari
-

Juhudi za Kusaka Amani: Ujumbe wa Iran Wawasili Qatar Kujadili Usitishaji wa Vita
DOHA, QATAR- Katika hatua muhimu ya kidiplomasia, ujumbe rasmi kutoka nchini Iran, ukiongozwa na Mohammad Bagher Ghalibaf, umewasili…
-

Iran Yasisitiza Kuiunga Mkono Hezbollah, Yadai Usitishaji Vita Lebanon Katika Makubaliano Yoyote ya Amani.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Seyed Abbas Araghchi, amewasilisha ujumbe maalum kwa…
-

90 waaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye mgodi China
TAKRIBAN watu 90 walifariki kufuatia mlipuko katika mgodi wa makaa ya mawe [coal kwa Kimombo] kaskazini mwa China,…
-

Ufaransa Yampiga Marufuku Waziri wa Usalama wa Israel Kuingia Nchini Humo
PARIS – Serikali ya Ufaransa imempiga marufuku Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir, kuingia katika…
-

Urusi Yatumia Makombora ya Oreshnik Katika Mashambulizi Mapya Nchini Ukraine.
Katika mashambulizi makali yaliyoshuhudiwa usiku wa leo, picha na mikanda ya video iliyotolewa inathibitisha kuwa Urusi imetumia kombora…
-

Tumeishiwa Silaha, Iran Inashinda Vita,” Akiri Mbunge wa Marekani
WASHINGTON, MAREKANI – Katika kauli inayoibua mjadala mzito, Mwakilishi wa Bunge la Marekani (Congress), Raja Krishnamoorthi, ametoa onyo…