Wall Street Journal: Iran yaibananga Marekani katika Vita vya Masimulizi
Gazeti la Wall Street Journal limeripoti kuwa Iran inaendelea kupata nguvu katika vita vya taarifa kupitia uzalishaji na usambazaji wa video kadhaa zilizotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili bandia (AI).…