Ukraine Yapata Ndege 36 za Gripen kutoka Sweden.
Ukraine imefikia makubaliano na Sweden ya kupata jumla ya ndege 36 za kivita aina ya JAS 39 Gripen, katika hatua inayotarajiwa kuimarisha uwezo wa Jeshi la Anga la Ukraine. Kwa…
Ukraine imefikia makubaliano na Sweden ya kupata jumla ya ndege 36 za kivita aina ya JAS 39 Gripen, katika hatua inayotarajiwa kuimarisha uwezo wa Jeshi la Anga la Ukraine. Kwa…
KYIV, UKRAINE – Mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, upo katika hali ya taharuki kufuatia majeshi ya Urusi kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi ya kimkakati yanayolenga viwanda na asasi mbalimbali za…
Katika mashambulizi makali yaliyoshuhudiwa usiku wa leo, picha na mikanda ya video iliyotolewa inathibitisha kuwa Urusi imetumia kombora la balestiki aina ya ‘Oreshnik’ nchini Ukraine. Hatua hii inakuja na kuthibitisha…
Ukraine imeitaka Ulaya kusaidia kufufua juhudi za amani zilizokwama na Urusi kwa kupendekeza hatua ya awali ya pamoja — usitishaji wa mashambulizi katika viwanja vya ndege vya pande zote mbili.…
Katika nchi nyingi za Afrika, taarifa zinaonyesha kuwa raia wa kawaida wanashawishiwa na Urusi kwenda kupigana katika vita vya Ukraine. Hata hivyo, hali nchini Kameruni inaonekana kuwa ya kipekee kwa…
Kyiv — Serikali ya Ukraine imemwita balozi wa Israel nchini humo kutoa malalamiko rasmi kuhusu usafirishaji wa nafaka ambayo Ukraine inadai iliibwa kutoka maeneo ya nchi hiyo yaliyo chini ya…