Ukraine yapiga kambi ya jeshi ya Urusi jijini St. Petersburg kwa ndege zisizo na rubani
ST. PETERSBURG, URUSIKatika kile kinachoonekana kuwa ni mfululizo wa mashambulizi ya kushtukiza, jeshi la Ukraine alfajiri ya leo limefanya shambulio kubwa dhidi ya kambi ya kijeshi na maeneo mengine muhimu…