Ni marufuku: Rais Ramaphosa Awashukia Wanaowasaka Wageni Afrika Kusini
PRETORIA, AFRIKA KUSINI: Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ametoa onyo kali dhidi ya makundi ya raia wanaojichukulia sheria mkononi kwa kuwasimamisha na kuwakagua vitambulisho raia wa kigeni mitaani. Akihutubia…