FIFA Yapendekeza Mechi ya Israel na Palestina Uwanjani, Je hili ni la jaribio kuosha maovu ya Israel?
Baadhi wametaja suala hili kama jaribio la FIFA kusafisha maovu ya Israel, haswa ikizingatiwa kushindwa kwa FIFA kuipiga marufuku Israel. Shirikisho hilo halikuona haya kusema kwamba soka haitotumika kutatua matatizo…